Audio & Video

Hii ajali imetokea wilayani Kwimba

on

Ajali hii imetokea jana Agosti 11, 2018 katika barabara inayoelekea mjini Kwimba, eneo la Bungulwa ambapo inaelezwa kwamba dereva wa gari lenye nambari za usajili T.490 BDN Toyota Mark II alishindwa kumkwepa mtembea kwa miguu aliyekuwa akikatisha barabara na kumgonga na kisha gari kupinduka.

Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi akijionea gari lililopinduka

Majeruhi akiwahishwa hospitalini

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Recommended for you