Habari Picha

AJALI MBAYA YAWAKUMBA NEW HABARI MWANZA WAKATI WAKIMKWEPA TEMBO: GARI NYANG’ANYANG’A WADAU WASALIMIKA

on

Ajali mbaya imetokea juzi usiku katika moja ya maeneo mto Rubana
wilayani Bunda kuingia mbuga ya Serengeti ikihusisha watu wanne baadhi
yao wakiwa ni waandishi wa Habari. 

“NAMSHUKURU MUNGU AMENINUSURU KATIKA HII AJALI: Nilikuwa nimekaa hapo mbele na ili kuniondoa ililazimu kukata gari”Aliandika aliandika katika ukurasa wake wa facebook Frederick Katulanda Mhariri Mkuu Gazeti la Mtanzania Kanda ya Ziwa. 

Ajali haikusababisha vifo hivyo ni jambo la kumshukuru Mungu.Mtanzania Media inawatakia kila la Kheri Majeruhi wa ajali hii ili wapone na kurejea katika majukumu yao ya kila siku.
Kwa ushirikiano na Gsengo Blog.