Audio & Video

APHFTA wasaidia Vituo Binafsi vya Afya Jijini Mwanza kutoa huduma bure

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Zaidi ya Vituo binafsi vya afya 45 Jijini Mwanza (Ilemela na Nyamagana) vimesaini Mkataba wa Mashirikiano baina ya Sekta ya Umma na Binafsi ili kutoa bure huduma za afya kwa upande wa akina mama na watoto.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi Tanzania APHFTA kinachoratibu mpango huo kwa kushirikiana na shirika la Pharmaccess Interbational anaeleza zaidi.

Bonyeza HAPA kutazama zoezi la kusaini mikataba hiyo.

Recommended for you