Audio & Video

Washuhudie hapa Aslay na Nandy

on

Wasanii Aslay na Nandy walikonga vilivyo nyoyo za mashabiki zao kwenye jukwaa la Miss Mwanza ililofanyika viunga vya Rock City Mall Julai 06, 2018. Ungana na BMG Online TV kushuhudiwa wawili hao walichokifanya jukwaani.

PIA TAZAMA Miss Mwanza 2018 akitanganzwa

Recommended for you