Habari Picha

BALOZI WA “AFYABANDO” ATANGAZWA JIJINI DAR

on

 

Afisa TEHAMA wa Taasisi ya NORDIC, Dickson Leonard akiongea na wanahabari kumtambulisha Hilary Daudi ‘Zembwela’ kuwa Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Dar es Salaam Septemba 15 2017. Balozi Zembwela atafanya kampeni ijulikanayo kama ‘AfyaBando’. Kushoto ni Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation TanzaniaDkt. Resipicius Salvatory.
Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot
Balozi Zembwela akionesha namba ya kampuni na kumbukumbu kwa ajili ya kushiriki bahati nasibu ya kucheza ‘Afyabando’ ili kupata kadi ya Bima ya afya kwa shilingi 500. 

Recommended for you