Audio & Video

Balozi wa Ireland ashiriki Mdahalo wa KIVULINI Misungwi mkoani Mwanza

on

BMG Habari, Pamoja Daima!

Inaelezwa kwamba Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia vimeanza kupungua katika Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, baada ya Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake KIVULINI kuendesha midahalo ya mara kwa mara inayohusisha wananchi wilayani humo.

Hayo yalibainishwa katika Mdahalo uliofanyika jana Februari 05,2018 katika Kijiji cha Mwambola wilayani humo, uliohudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wakiwemo balozi wa Ireland nchini Tanzania, jeshi la polisi, taasisi ya Benjamini Mkapa, AMREF, UNICEF pamoja na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Mkurugenzi wa shirika la KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye mdahalo huo.

Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Adrian Fitzegand akizungumza kwenye mdahalo huo.

Dr.Ama Kasangala kutoka wizara ya Agya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akiwasilisha salamu za wizara. Bonyeza HAPA uanzishwaji wa Kiwanda Kidogo.

 

 

Recommended for you