Habari Picha

Ubovu wa barabara ya Sabasaba-Buswelu katika Manispaa ya Ilemela

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Barabara ya Sabasaba-Kiseke hadi Buswelu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza ikiwa katika hali mbaya kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Mwanza.

Katika msimu wa mvua, watumiaji wa barabara hii wakiwemo watembea kwa miguu, daladala na bodaboda hupata adha kubwa ya usafiri katika barabara hii hivyo wanatamani itimie ile ahadi ya muda mrefu ya barabara hii kujengwa kwa kiwango cha lami.

Bonyeza HAPA kusoma taarifa ya ujenzi wa barabara ya Sabasaba hadi Buswelu kwa kiwango cha lami.

Recommended for you