Audio & Video

Banda la NMB lasheheni huduma kede kede kwenye Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Ziwa

on

Meneja Mahusiano (Kilimo, Biashara) kutoka benki ya NMB Kanda ya Ziwa, Robert Samji (kushoto) akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa (wa pili kulia) alipofika kwenye banda la benki hiyo kwa ajili ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonesho ya wakulima, wafugaji na wavuvi Kanda ya Ziwa Maghari yanayofanyika uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza. Ufunguzi huo ulifanyika jana Agosti 04, 2018. Na George Binagi, Mwanza 

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa (wa pili kulia) akikata utepe kwenye banda la benki ya NMB kuashiria ufunguzi wa maonesho ya bidhaa za kilimo na sherehe za wakulima Nane Nane 2018 Kanda ya Ziwa Magharibi

Maonesho ya bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi Kanda ya Ziwa Magharibi yanajumuisha mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa (kulia), akipokea ufafanuzi wa huduma zinazotolewa kwenye banda la benki ya NMB kwenye maonesho ya Nane Nane 2018 Nyamhongolo Jijini Mwanza

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa (kulia) akisalimiana na mmoja wa watoa huduma katika banda la benki ya NMB katika maonesho ya Nane Nane 2018 yanayofanyika Nyamhongolo Jijini Mwanza

Tazama BMG Online Tv hapa chini

Recommended for you