Audio & Video

Biteko apiga marufuku uchenjuaji dhahabu kandoni mwa Ziwa Victoria

on

Naibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko amewataka wachimbaji wadogo wa dhahabu katika machimbo ya Ikungu wilaya ya Musoma mkoani Mara kusitisha shughuli za uchechuaji dhahabu ndani ya mita 60 kutoka Ziwa Victoria lililo jirani na machimbo hayo.

PIA SOMA Raia wa kigeni wakamatwa mgodini, wengine walikuwa wamefichwa chooni

Recommended for you