Audio & Video

Boeng 787-8 Dreamliner yaanza vyema safari zake ndani ya nchi

on

Julai 29, 2018 ndege mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner inawasili katika uwanja wa Mwanza ikiwa ni safari yake ya kwanza ikitokea Dar es salaam kupitia Kilimanjaro na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandishi Isack Kamwelwe.

Pia mwenyeji Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella amepata fursa ya kuzungumza kwenye hafla hiyo. Ndege hiyo itafanya safari zake ndani ya nchi kwa kipindi cha mwezi mmoja kabla ya kuanza safari za nje ya nchi.

Boeng 787-8 Dreamliner ikiwasili katika uwanja wa Mwanza

Boeng 787-8 Dreamliner ikipewa heshima (water salute) ilipowasili katika uwanja wa Mwanza

PIA SOMA Mapokezi ya ndege mpya ya Boeing 787-800 Dreamliner Jijini Mwanza

Recommended for you