Audio & Video

Boxing Day 2017 Imenoga Kinoma Jijini Mwanza

on

Ni matumaini yetu unaendelea kufurahia Sikukuu ya Krismasi na pia maandalizi ya mwaka mpya 2018 ni mazuri. Jijini Mwanza BMG #PamojaDaima tumefurahia vyema Sikukuu hii ya Krismasi na pamoja na Boxing Day. Tafadhali ungana nasi kujua zaidi. Maoni yako yaambanate na #Tunaweza2018

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kwa habari ya Krismas 2017

 

 

 

Recommended for you