Audio & Video

Mdogo wake “Brother K” aibuka

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Wakati mchekeshaji Brother K kutoka mkoani Kigoma akiendelea kujizolea mashabiki wengine nchini, ameibuka mdogo wake anayejiita King Love ambaye anasema anafuata nyayo za kaka yake kwenye sanaa na kuahidi kufanya mambo makubwa kwa mashabiki zake.

ISOME PIA HABARI HII Shuhudia tu lakini usijaribu mchezo huu 

Recommended for you