Audio & Video

BURUDIKA NA GOMA LA YESU KUTOKA KWA SAM D

on

Karibu msomaji wa BMG Habari uburidike na wimbo kutoka kwa Samweli Kulola a.k.a Sam D ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Jijini Mwanza.

Wimbo unaitwa Goma la Yesu, ukiwa umetayarishwa na Doucher Muster kutoka Tropic Sound Studio. Kumbuka kuweka maoni yako hapo chini ili Sam D ajue ulivyoupokea wimbo wake.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you