Audio & Video

Tamko la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu tamko la serikali kuwarejesha kazini watumishi wa darasa la saba kurejeshwa kazini.

Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Said Yusuph Kipande amesoma tamko hilo leo jumamosi Aprili 15, 2018 mbele ya wanahabari kwenye kikao cha madereva wa serikali tawi la Mwanza.

Baadhi ya madereva mkoani Mwanza waliohudhuria kikao hicho, katika ukumbi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza.

 

Recommended for you