Audio & Video

Ligi daraja la nne Misungwi, viongozi waguswa na uhaba wa vifaa vya michezo

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Suala la ukosefu wa vifaa vya michezo limewagusa viongozi mbalimbali ikiwa zimesalia siku chache ligi daraja la nne wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ianze kutimua vumbi chini ya usimamizi wa chama cha soka wilayani humo MDFA.

Suala hilo lilikuwa miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano mkuu wa MDFA uliofanyika Juni 30, 2018 Mjini Misungwi.

Baadhi ya wajumbe mkutano mkuu MDFA

PIA SOMA Tamko rasmi kutoka chama cha soka Misungwi MDFA

Recommended for you