Audio & Video

Chama cha soka Misungwi chafanya mkutano mkuu 2018

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza MDFA jana kimefanya mkutano mkuu wa mwaka 2018 ambapo pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa chama hicho Mw.Ephraim Majinge amepiga marufuku ligi yoyote kuendeshwa wilayani humo bila idhini ya MDFA.

PIA SOMA Michuano ya Ramadhan Cup 2018 yamalizika kwa kishindo Jijini Mwanza

Recommended for you