Audio & Video

Wadau washiriki hafla pamoja na watoto Jijini Mwanza

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Ni wajibu wa kila mmoja katika jamii kuhakikisha watoto wanapata malezi bora pamoja na haki za msingi ikiwemo elimu. Ungana na BMG Online TV kwenye makala hii inayomulika hafla maalum iliyofanyika katika taasisi ya Pamoja Child and Youth Foundation ya Jijini Mwanza.

PIA SOMA Mdau asherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wa Pamoja Child & Youth Foundation Mwanza

Recommended for you