Audio & Video

Kauli ya kwanza ya DC mpya wa Ilemela baada ya kuanza kazi

on

Mkuu mpya wa wilaya Ilemela Mhe.Dkt.Severine Lalila jana amemwakilisha Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella kwenye ufunguzi wa Nane Nane Kanda ya Ziwa Magharibi 2018 yanayofanyika uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza na akatumia fursa hiyo kutoa kauli yake ya kwanza akiwa kazini baada ya kuapishwa juzi.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Recommended for you