Audio & Video

DC Nyimbi aguswa na kiwango cha elimu wilayani Nyamagana

on

Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza Mhe. Dkt. Philis Nyimbi akiwasilisha salamu zake kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki 18 kwa Maafisa Elimu Kata Jijini Mwanza (Nyamagana) iliyofanyika hii leo Septemba 10, 2018 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella.

Baadhi ya waalimu Jijini Mwanza wakifuatilia hafla ya kukabidhi pikipiki kwa Maafisa Elimu Kata. Tazama BMG Online Tv hapa chini

SOMA Serikali yatatua adha ya usafiri kwa Maafisa Elimu Mwanza

 

Recommended for you