Audio & Video

Mbunge jimbo la Bukombe alivalia njuga suala la elimu

on

Wazazi na walezi katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita wametakiwa kuweka mkazo katika kuwasomesha watoto ili kuwasaidia kuondokana na utegemezi hapo baadae.

Mbunge jimbo la Bukombe, Doto Biteko (pichani juu) ametoa rai hiyo wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Iyogelo jimboni humo.

iongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Iyogelo wilayani Bukombe wakifualitia mkutano wa mbunge wa Jimbo la Bukombe katika Kata hiyo

Mbunge jimbo la Bukombe, Doto Biteko akizungumza na wakazi wa Kata ya Iyogelo jimboni humo kuwaeleza utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Recommended for you