Audio & Video

Dr.Shika alamba dili jingine nono zaidi

on

Jina la Dr.Luis Shika linaendelea kuwa kubwa ndani na nje ya Tanzania na sasa hatazamwi kama tajiri mtata aliyeshindwa kulipia nyumba za Lugumi baada ya kushinda mnada bali anatazwa kama mtu maarufu na mcheshi asiye jikweza.

Umaarufu huo umegeuka biashara na sasa anaonekana kwenye matangazo na video za wasanii bongo lakini kubwa zaidi leo Novemba 25,2017 Dr.Shika kapata dili jingine nono zaidi.

 

Baadhi ya makada wa CCM wameandika kwenye mitandao ya kijamii kwamba, CCM ikishinda Kata zote nchini kwenye uchaguzi wa marudio ITAPENDEZA kama ilivyo msemo wa Dr.Shika.

Recommended for you