Audio & Video

Habari Njema Kuelekea Mwaka Mpya 2018

on

Mwaka 2017 unaelekea ukingoni hii leo Disemba 31, hivyo BMG Habari #PamojaDaima tunayo furaha kukushirikisha jambo jema ambalo kwa imani lina nafasi kubwa katika kuyabadili maisha yako kuwa bora kwa mwaka 2018.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you