Audio & Video

Habari Njema kutoka Benki ya CRDB

on

Novemba 06 mwaka jana benki ya CRDB ilikutana na Wakandarasi Jijini Mwanza na kuwahakikishia upatikanaji wa mikopo pamoja na dhamana ya kazi, itakayowawezesha kuwa na vigezo vya kupata tenda na hatimaye kutimiza vyema shughuli zao.

Mkurugenzi wa CRDB mkoani Mwanza, Wambura Calystus alitoa ahadi hiyo kwenye semina kwa wakandarasi wa barabara, iliyoandaliwa na beki hiyo kwa kushirikiana na wakala wa barabara Tanroad mkoa wa Mwanza pamoja na kampuni ya uuzaji na ukodishaji wa mitambo ya Mantrac.

Recommended for you