Habari Picha

“Uwazi wa Uingiaji Mikataba na Uchambuzi wa Taarifa”- HakiRasilimali

on

Mafunzo ya siku tano kuhusu “Uwazi wa Uingiaji Mikataba na Uchambuzi wa Taarifa” katika sekta ya Uziduaji (madini, mafuta na gesi) yaliyoanza JANA Regency Park Hotel Jijini Dar es salaam yameendelea katika siku ya pili.

Mafunzo hayo yameandaliwa na taasisi ya HakiRasilimali-PWYP yakiwashirikisha washiriki kutoka asasi za kiraia, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kuweza kutambua taarifa za uingiaji mikataba na kufanya uchechemuzi kuhusiana na mikataba ya sekta ya ya uziduaji.

Soma jumbe mbalimbali kutoka HakiRasilimali katika siku ya pili ya mafunz

o

Recommended for you