Audio & Video

Hali ya Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani Manispaa ya Ilemela

on

Shirika la Kutetea Haki za Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani WOTESAWA umebaini idadi kubwa ya watoto wafanyakazi wa nyumbani katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.

Elisha David ambaye ni Mthamini na Mfuatiliaji Miradi WOTESAWA akizungumza kwenye semina kwa viongozi wa serikali za mitaa, maafisa ustawi wa jamii, viongozi wa dini pamoja na viongozi mbalimbali wilayani Ilemela, iliyofanyika Disemba 13-15,2017.

Mmoja wa washiriki wa semina hiyo akiwasilisha mpango mkakati wa namna ya kupambana na ukatili kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani.

 

 

Recommended for you