Habari Picha

Happy Birth Day Mtangazaji wa Metro Fm Mwanza

on

Wenye Bahati yao @sefkarmarie #SefrozaJoseph ambaye ni Mtangazaji Metro Fm Mwanza kazaliwa leo #JanuariMosi mwaka mpya. Hakika Mungu azidi kumbariki maishani mwake. #PamojaDaimaBMG#Tunaweza2018 

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you