Audio & Video

Happy Birth Day Mtoto Mzuri Johari

on

Disemba 27 miaka kadhaa iliyopita alizaliwa mtoto mzuri Johari, BMG Habari #PamojaDaima tunaomba mtusaidie kumtakia kila la kheri kwenye siku yake hii ya kuzaliwa. Kumbuka hashtag yetu ni #Tunaweza2018

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you