Habari Picha

HII INAWAHUSU WANATASNIA WOTE WA FILAMU TANZANIA

on

Wanatasnia wote wa filamu nchini wanaarifiwa kuhudhuria kikao cha tasnia ya filamu nchini ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrisom Mwakyembe atazungumza na wanatasnia hao.

Ni tarehe 04.08.2017 Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kuanzia saa 02:30 asubuhi hadi saa 07:00 mchana, Usikose!

Filamu ni Uchumi, Filamu ni Ajira, Filamu kwa Maendeleo Endelevu.

Uzinduzi wa Filamu ya Magwangala wakwama Geita, Soma HAPA

 

Recommended for you