Habari Picha

HII NDIYO MIDOLI YA KIKE YA NGONO AMBAYO IMEINGIA SOKONI KWA AJILI YA WANAUME.

on

Sex Doll
Kampuni moja
imedai kufanikiwa kutengeneza Midoli ya Ngono (Sex Dolls) yenye Mwonekano
halisi wa Msichana (Mwanamke) ikiwa na ngozi na macho halisi kama ya Mwanadamu
wa ukweli ukweli.
Sex Doll

Kampuni hiyo
ambayo inafahamika kama Orient Industry kutoka nchini Japan imesema kuwa ni
vigumu kuitofautisha Midoli hiyo na Msichana halisi pale unapoitazama kutokana
na namna inavyofanana na (Msichana) Mwanadamu halisi.

Sex Doll

Kwa Mara ya
Kwanza Midoli hiyo imepewa jina la Dutch Wives na Matangazo ya Midoli hiyo yanafafanua
kuwa Iwapo Mwanaume atafanya Mapenzi na Midoli hiyo basi hataweza kumtamani
Mwanamke (Msichana) halisi tena.

Tayari
Midoli hiyo imeingia sokoni na Inauzwa kwa bei ya Euro 1,000 ikiwa ni sawa na
Shilingi za Kitanzania Milioni 2.7 kwa kila Mdoli Mmoja, na imeelezwa kuwa Midoli
hiyo imetengezwa kwa kuiwekea Viungo ambavyo vinamfanya Mtumiaji kuigeuza kwa
Style aitakayo ama aipendayo wakati akiitumia kukidhi haja zake za kimapenzi.
Sex Doll

Midoli hii
imeonekana kuzua gumzo kote duniani kutokana na Hofu kwamba huenda ndoa nyingi
zikavunjika kutoka na kila mmoja katika ndoa (Mme na Mke) kuhamishia mapenzi
yake katika vifaa hivi vya kujikimu kimapenzi, kwani wakati Midoli hii ya Kike
inaingia Sokoni kwa ajili ya Matumizi ya kimapenzi kwa Wanaume, tayari kuna
vifaa kadha wa Kadha kwa ajili ya Matumizi ya Kimapenzi kwa ajili ya Matumizi
ya Wanawake katika kukidhi haja zao za kimapenzi.

Sex Doll
 Na: George Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media KWA HISANI YA MTANDAO.

Recommended for you