Audio & Video

Hongera Katibu wa CCM Wilaya ya Singida Vijijini

on

Hii leo BMG Habari #PamojaDaima inakuunganisha na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Singida Vijijini ili kupitia yeye akutie hamasa ya kusonga mbele katika matarajio na ndoto zako. Karibu!

Grace Shindika akimlisha keki mama mzazi kwenye hafla iliyofanyika Rock Beach Garden Mwanza.

Grace Shindika akimlisha keki mdogo wake kwenye hafla hiyo.

 

Keki.

Zawadi kwa mhitimu.

Grace Shindika akizungumza kwenye hafla ya kumpongeza.

Mwenyekiti wa CCM wilayani Ilemela akizungumza kwenye hafla hiyo.

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kirumba akizungumza kwenye hafla hiyo.

Mama Mzazi wa Grace akizungumza kwenye hafla ya kumpongeza mwanae.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza.

 

 

 

 

Recommended for you