Audio & Video

Ibada Maalumu ya Krismasi yanoga Kanisa la EAGT Lumala Mpya Mwanza

on

Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola wameungana pamoja kusherekea ibada ya Krismasi kanisani hapo hii leo jumatatu Disemba 25,2017.

Ibada imekuwa ya kuvutia na baadaye imefuatiwa na chakula cha mchana. Fuatilia ilivyokuwa kupitia BMG Habari #PamojaDaima na kisha tunaomba maoni na salamu zako za Krismasi hapo chini, hashtag yetu ni #Tunaweza.

 

Recommended for you