Audio & Video

MAAJABU: Maji yasiyohamishika yasababisha mradi kukwama

on

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG

Imani potofu za ushirikina katika Kijiji cha Ilalambogo Kata ya Lubili halmashauri ya wilaya Misungwi mkoani Mwanza, zimesababisha wananchi kushindwa kuendeleza mradi wa ufugaji samaki ulioanzishwa na serikali.

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi, Eliurd Mwaiteleke akizungumza alipotembelea chanzo cha maji kinachodaiwa maji yake hayahamishiki katika Kijiji cha Ilalambogo Kata ya Lubili.

Mkurugenzi Mwaiteleke ameanza juhudi za kuhakikisha mradi huo unafufuliwa upya.

 

Bonyeza HAPA kwa habari zaidi. 

Recommended for you