Audio & Video

Kuna watu bado hawajamwelewa Rais Magufuli- Meya Bwire

on

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire akitoa salamu zake kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki kwa Maafisa Elimu Kata Jijini Mwanza ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella.

SOMA DC Nyimbi aguswa na kiwango cha elimu wilayani Nyamagana

Recommended for you