Audio & Video

Watumiaji wa vipodozi vyenye sumu wakiwemo wanaume watahadharishwa

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Wananchi wametakiwa kutoa taarifa pindi waonapo bidhaa hizo ama zilizoisha muda wa matumizi kwa kupiga simu bure kupitia nambari ya 08 00 11 00 84.

ISOME PIA HABARI HII Wanahabari mikoa ya Mwanza na Shinyanga wapewa semina na TFDA 

Recommended for you