Audio & Video

Mkuu wa Mkoa Mwanza ayaonya makampuni binafsi ya ulinzi

on

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella ameagiza kufutwa kwa baadhi ya kampuni binafsi za ulinzi yasiyotimiza vigezo vya ajira kwa wafanyakazi wake ikiwemo kutowalipa mishahara kwa wakati.

Mhe.Mongella ametoa kauli hiyo jana wakati akizundua kampuni ya ulinzi ya “Power Shield Security Services Ltd” yenye ofisi zake katika mtaa wa Pamba B mkabara na Mwanza sekondari Jijini Mwanza.

Mkuu wa Mkoa Mwanza akizungumza kwenye uzinduzi wa kampuni ya ulizi ya PSSS ya Jijini Mwanza

Meneja Utawala kampuni ya ulinzi ya PSSS, Juma Kapongo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo

Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi akisalimiana na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya PSSS

Tazama BMG Online Tv hapo juu

Recommended for you