Audio & Video

Kamanda wa Chadema ahamia CCM

on

Kamanda (Redbrigade) wa Chadema wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Yohana Lubigisa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Lubigisa amepokelewa jana na Katibu wa Siasa na Uenezi (CCM) mkoani Geita, David Azaria kwenye mkutano hadhara wa mbunge wa jimbo la Bukombe, Doto Biteko uliofanyika uwanja wa stendi Mjini Ushirombo.

Recommended for you