Audio & Video

Wafanyabiashara waahidi kuitumia bandari ya Mwanza Kusini

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Wafanyabishara Jijini Mwanza wameahidi kuitumia bandari ya Mwanza Kusini kusafirishia mizigo yao kutoka ndani na nje ya nchi baada ya huduma katika hiyo kuzinduliwa upya.

Sasa mizigo kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwemo bandari ya Dar es salaam itaweza kusafirisha kwa njia ya reli hadi bandari ya Mwanza Kusini na kufaulishwa kwenye meli ya MV.Umoja hadi bandari ya Portbell nchini Uganda baada ya huduma hiyo kusitishwa miaka 10 iliyopita.

SOMA Uzinduzi wa huduma katika bandari ya Mwanza Kusini hadi Portbell Uganda

Recommended for you