Habari Picha

Karibu kwenye Semina ya Neno la Mungu Jijini Mwanza

on

Kanisa la EAGT Lumala Mpya, lililopo nyumba ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza linakukaribisha kwenye Semina ya Neno la Mungu kuanzia jumanne Januari 30,2018 hadi jumapili Februari 04,2018.

Semina itafanyika kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12:30 jioni katika kanisa hilo, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola ambapo kutakuwa na huduma mbalimbali ikiwemo kwaya na maombezi.

Wasiliana na Mchungaji Dkt.Kulola 0767 74 90 40 kwa msaada wa kiroho!

Nyote mnakaribishwa!

Recommended for you