Audio & Video

Kero ya Maji Kata ya Butimba Jijini Mwanza

on

Wananchi wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Butimba Jijini Mwanza wanalazimika kutumia maji ya chemchem ambayo wanasema si salama kwa matumizi ya nyumbani, kutokana na kukabiliwa na tatizo la maji ya bomba kukatika mara kwa mara.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kutazama picha!

Recommended for you