Audio & Video

Kila sekunde 15 mfanyakazi hupoteza maisha, OSHA yaonya waajiri

on

Akizungumza jana kwenye semina kwa wanahabari mkoani Mwanza, Kaimu Mtendaji Mkuu wakala wa usalama mahala pa kazi OSHA, Khadija Mwenda alisema wakala unatarajia kuanza oparesheni maalum kuanzia mwezi huu hadi Disemba 2018 ili kuhakikisha waajiri wote wanatimiza vigezo vyote vya usalama mahala pa kazi.

Kaimu Mtendaji Mkuu wakala wa usalama mahala pa kazi OSHA, Khadija Mwenda.
Tazama BMG Online Tv ahapa chini

SOMA OSHA kuanzisha Oparesheni Maalum kwa waajiri wote nchini

Recommended for you