Audio & Video

Kilio cha Wakazi wa Butimba Jijini Mwanza kuhusu Maji

on

Wakazi wa Kata ya Butimba Jijini Mwanza wamepaza sauti zao wakiomba kutatuliwa kero ya uhaba wa maji inayowakabili kwani wanalazimika kutumia maji ya chemchem ya korongo kutokana na kukatika mara kwa mara maji ya bomba.

Recommended for you