Audio & Video

UFAFANUZI: Kiwanda cha bidhaa za ngozi wilayani Sengerema

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mei 29 mwaka huu Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ALAT tawi la Mkoa wa Mwanza chini ya Mwenyekiti Hilal Elisha walifanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi na kuvutiwa na uzalishaji wake. Ungana na BMG Online TV kushuhudia yaliyojiri kwenye ziara hiyo.

SOMA Miradi ya maendeleo wilayani Sengerema

Recommended for you