Audio & Video

“Kiwanda cha Lakairo kimetufutia aibu”- Waziri Mwijage

on

Kiwanda cha “Lakairo Industries Group LTD” kilichopo katika Kijiji cha Isangijo wilaya ya
Magu mkoan Mwanza kimezinduliwa rasmi hii leo Septemba 04, 2018 na Rais Dkt.
John Pombe Magufuli.
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza kwenye hafla hiyo
Wananchi waliojitokeza kwenye hafla hiyo

Tazama BMG Online Tv hapo juu

Recommended for you