Audio & Video

Nasaha za RC Mongella katika Maadhimisho ya watu wenye Ualibino

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Katika kuelekea Siku ya Watu wenye Ualibino Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Juni 13, shirika la la marafiki wa watoto wenye saratani, mgongo wazi na kichwa kikubwa limeandaa tamasha mkoani Mwanza ili kuhamasisha jamii kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ualibino.

Mgeni rasmi kwenye tamasha hilo lililofanyika Juni 09, 2018 katika uwanja wa Mirongo alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe.John Mongella.

Recommended for you