Audio & Video

Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi yaongezeka mkoani Mwanza

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Machi 27-28, 2018 wadau wa mapambano ya Virusi vya Ukimwi na Ukimwi mkoani Mwanza wanakutana kujadili changamoto za maambukizi ya virusi hivyo.

Ni kufuatia ripoti ya mwaka 2016/17 kuonyesha kwamba maambukizi hayo yamefikia asilimia 7.2 mkoani Mwanza ikiwa ni mkoa wa pili kwa asilimia kubwa ya maambukizi baada ya Dar es salaam.

BMG inakuletea walichokizungumza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la AGPAHI, Dr.Sekela Mwakyusa.

Bonyeza HAPA kusoma zaidi.

Recommended for you