Audio & Video

Madai ya waalimu Jijini Mwanza kuna watu hawatabaki salama

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella jana amekutana tena na baadhi ya waalimu Jijini Mwanza wanaodai malipo mbalimbali ikiwemo posho ya uhamisho na kutoa maamuzi ya awali.

RC Mongella (wa pili kulia) akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine ni Mkuu wa wilaya Nyamagana Marry Tesha (wa pili kushoto), Afisa Elimu mkoaji Mwanza Mwl.Michale Ligola (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Jiji la Mwanza Philipo Mkama (kushoto). 

Afisa Utumishi Jiji la Mwanza (kulia) pamoja na watumishi wengine wakifuatilia kikao hicho.

Tazma BMG Online TV hapa chini 

SOMA RC John Mongella aingilia kati sakata la madai ya waalimu

Recommended for you