Audio & Video

Madereva wa serikali watoa ya moyoni

on

Kutoka kulia ni Omary Simba ambaye ni Mwenyekiti wa madereva wa serikali halmashauri ya Jiji la Mwanza, Said Yusuph Kapande ambaye ni Makamu Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (katikati) pamoja na Japhet Ibrahim ambaye ni Katibu Chama cha Madereva wa Serikali halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Ni katika mkutano wa chama cha madereva wa serikali mkoani Mwanza uliofanyika jana Aprili 15, 2018 katika ukumbi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza ambao pamoja na mambo mengine ulilenga kujadili sakata la madereva wa vyeti feki pamoja na vyeti vya darasa la saba kuachishwa kazi.

Bonyeza HAPA kwa habari zaidi ama tazama video hapo chini 

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG Habari

Recommended for you