Audio & Video

Serikali yaboresha mfuko wa bima ya afya ya jamii CHF

on

George Binagi-GB Pazzo, BMG
Serikali imeboresha mfuko wa afya ya jamii CHF ambapo sasa Kaya yenye wategemezi sita itakuwa ikichangia shilingi 30,000 na kupata huduma bora za matibabu ya afya hadi ngazi ya rufaa kwa mwaka mzima.

Hayo yameelezwa wakati wa mafunzo ya siku tatu kwa waganga wafawidhi wa vituo vya afya na zahanati yaliyoshirikisha pia wahasibu pamoja na wenyeviti wa kamati za afya katika halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya CHF iliyoboreshwa wilayani Misungwi. Tazama HAPA ufunguzi.

Recommended for you