Audio & Video

Maoni ya Wananchi Kuhusu Makada wa Chadema Kuhamia CCM

on

Hama hama ya makada wa siasa hususani kutoka Chadema kwema CCM imeendelea katika maeneo mbalimbali nchini. BMG Habari #PamojaDaima inakuletea maoni ya baadhi ya watazamaji wake.

Itakumbukwa kwamba hii leo Katibu wa Chadema (pichani) wilayani Tarime amehamia CCM ikiwa ni siku tatu baada ya diwani wa Kata ya Turwa wilayani humo pia kuhamia CCM.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you