Audio & Video

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa atoa ujumbe mzito Ilemela

on

Mwenge wa Uhuru umewasili katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza hii leo Septemba Mosi, 2018 ambapo utakagua, kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi minane ya maendeleo katika Kata 11 yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 (Tsh. 1,928,043,950.27).
Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg. Charles Kabeho ametumia fursa ya mapokezi ya Mwenge huo yaliyofanyika katika uwanja wa Mwatex kutoa ujumbe wa Mwenge mwaka huu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online Tv hapa chini

Recommended for you